
Kilimanjaro Plantation Ltd, kampuni inayojihusisha na sekta ya kilimo biashara, inatafuta Fundi Seremala mwenye sifa na uzoefu kujiunga na timu yake katika Kibosho-Mweka, Kilimanjaro.
Mhusika atawajibika kufanya kazi mbalimbali za useremala, ujenzi na matengenezo, ikiwa ni pamoja na kutengeneza na kukarabati milango, madirisha, makabati, fremu za paa, partitions na samani.
Get a clear picture of how well your background aligns with this job, so you apply with confidence not just hope.
Farming
Kilimanjaro Plantation Ltd. is one of Tanzania's oldest and premier single-origin coffee estates, producing premium, sustainably grown 100% Arabica coffee on the fertile southern slopes of Mount Kilimanjaro. Founded in 1955, the estate utilizes the region's rich volcanic soil, natural shade trees, and glacier-fed rivers to cultivate world-class specialty coffee.