
Kilimanjaro Plantation Ltd inatafuta Walinzi 10 kwa ajili ya kuimarisha usalama katika shughuli zake zilizopo Kibosho-Mweka, Kilimanjaro.
Walinzi watakuwa na jukumu la kulinda mali za kampuni, wafanyakazi na wageni, kudhibiti watu na magari yanayoingia na kutoka, kufanya doria na kuhakikisha taratibu za usalama zinafuatwa.
Get a clear picture of how well your background aligns with this job, so you apply with confidence not just hope.
Farming
Kilimanjaro Plantation Ltd. is one of Tanzania's oldest and premier single-origin coffee estates, producing premium, sustainably grown 100% Arabica coffee on the fertile southern slopes of Mount Kilimanjaro. Founded in 1955, the estate utilizes the region's rich volcanic soil, natural shade trees, and glacier-fed rivers to cultivate world-class specialty coffee.